New Lyrics

80Blacks Ft. Mbogi Genje (Smady Tings) – Mbogi Gaza Lyrics

80Blacks Ft. Mbogi Genje (Smady Tings) - Mbogi Gaza Lyrics
80Blacks Ft. Mbogi Genje (Smady Tings) – Mbogi Gaza Lyrics

80Blacks Ft. Mbogi Genje (Smady Tings) – Mbogi Gaza Lyrics (Godzeer)SLAMBOZEER ,80BLACKS hey.
(Smady tings)MBOGI NI GAZA MBOGI NI GENJE hey Chino ulizimno

GODZEER (intro)
Mimi ni gaza, na hutai nikosa na dagga
Michuma miukaza, na kisha mableina na marda
Mangumi mi uchapa wakinishida ni pap! pap! (Pap!)
Naleta maafa mpaka kwa wale mangaaa….

CHORUS
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)

VERSE 1
Blacks Napiga maclaks, mangoto na rungu naenda kuthug
Napita na Gang, kila mmoja na rungu na gun
Twasaka maweng, Tupigana koto MASAA YA CHE
Twaunza madree, Na banga kikuja vibaya takula rithe, amardwe na geng juu Gaza hatupendi majenge, mauzi na Ak tupenda kucork na rende
Mavisu na ngumi zatupwa za chinku
Usiku pepera pepera majenge

CHORUS
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)

Shady tings:
Smaddy: Njaga Ni washaaa njaga nawasha
mboka Ni ngeso,Shang inawashaaaa
Mbogi Ni gaza medz Ni baga
Meds ziko gwadha led ni copper
Nena Ni klappah luku imewaka lazima ngasha mbogi warena
Kama irori piga matenje piga mapori
Kanga wasoro rima ni bloody
Hi ni deathrow bangi Ni wholi
Tomba urazi bugda mngazi wizi Ni kazi Uzi iko kazi
Mi Ni assassin hi ni kisasi kula risasi chaji alibaki
Ground ndo ndaki mi ndo aladen mbogi Ni genje,ngumi n nbwegze

Smady tings.

CHORUS
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)
Mimi Gaza Head (Gaza Head)

Iduzeer

Uzi revolver tumejipin kisu na daga tunaziri
Mister uhanga dana nakill naleta mafaa mtaa ni biii
Nakuja namada na maziding kutoka kidungi mbogi ni hiii
Ni sisi na mbogi gaza izidi, ukileta ufala kula viding

Tucorki maAkA na Rizy, Mi juwanga idu ni chizi
Ubuzi na yee saliti ,ukicheza na mi nakilli
Makosa za riet kutifin , Mambanga za getto ni chizli
Madala za dogni ni dugni ,tupige mangeta kimbogi

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button