New Lyrics

Angry Panda – Katika Lyrics

Angry Panda - Katika Lyrics
Angry Panda – Katika Lyrics

Angry Panda – Katika Lyrics N

Si wa kukatika muanze kukatika
Wa kuagiza muanze kuitisha
Na ka umeketi amka simamisha
Masaa ni ya dance kati kati kati katika

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu ukiturn mummy zungusha
Katika uki tuen we angusha
Katika ukiturn songa nyuma
Niguze hiyo thutha najua hautanuna

Achilia doba ju enyewe kumethoka
Kaa rada nani hapo utachezwa poker
Nichekeshe nani na hapa mi ndio joker
Utachekwa vile mtu wako nitakutoka

Aiii kadem dem kazuri kamejaa kwa dera
Katika hadi nione umeanza kuhema
Una turn zunguka una turn zunguka
Zinashika kumbe ni kizunguzungu

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Katika tu uki turn ebu katika
Kama vigilante tuta navigante

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also
Close
Back to top button