New Lyrics

Ben Pol X Tamimu – Hiyo Ndio Mbaya Lyrics

Ben Pol X Tamimu - Hiyo Ndio Mbaya Lyrics
Ben Pol X Tamimu – Hiyo Ndio Mbaya Lyrics

Ben Pol X Tamimu – Hiyo Ndio Mbaya Lyrics. Nilijua utanifaa
Maisha yangu yote mi nilikupa
Umevunja moyo mpaka mifupa
Ulichokifanya mwenzako najuta (Eeeh..)

Nilikupenda sana nikakuweka moyoni
Mengi uliyofanya nikajifanya siyaoni
Kurudi late na mitungi kichwani
Kila siku visa tu na visirani

Mepenzi ya utumwa siyawezi acha mi niende zangu
Nilichofunzwa mapenzi sio kupiga mwenzangu
Onyesha wivu wa mapenzi kwa mwenzio
Kama unampenda kweli

We unampenda ya hakupendi
Hiyo ndo mbaya
Akijifanya anakupenda sana
Hiyo ndo mbaya

Kumbe mwenzako anakudanganya
Hiyo ndo mbaya
Alafu moyo utauma sana
Hiyo ndo mbaya
Mwisho wa siku mkibwagana
Hiyo ndo mbaya hiyo

Rayvanny Ft Zuchu – Number One Lyrics

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button