New Lyrics
Brown Mauzo – Dawa Lyrics
Brown Mauzo – Dawa Lyrics. Verse
Wako uzuri kama dem wa notoni
Niko nawe najihisi niko peponi
Can you be my wife nikueke ndani
I don’t need no one else but you
Prechorus
When you smile baby,kabisa wanimaliza
We ni raha, wajua kunichombeza X2
Chorus
Kwangu we dawa…..dawa
Kama Adamu na Hawa….Hawa
Kwangu we dawa……Dawa
Kama Adamu na Hawa.
Verse.
Mi bado nabaki na wewe
Mahaba niuwe nizikwe na wewe
We peke yako ndo unanikolezaga,unaniwezaga
Mi nlielea na nanga imezama oooh baby
Umenifumba macho angu mwengine sioni
Ukaniteka hisia zangu mapenzi ni upofu.
Prechorus
When you smile baby,kabisa wanimaliza
We ni raha, wajua kunichombeza X2
Chorus
Kwangu we dawa…..dawa
Kama Adamu na Hawa….Hawa
Kwangu we dawa……Dawa
Kama Adamu na Hawa