New Lyrics

CITYBOY – ACHEBA Lyrics

CITYBOY - ACHEBA Lyrics
CITYBOY – ACHEBA Lyrics

CITYBOY – ACHEBA Lyrics. Katoto kako fiti na final
Kushoto zake lips yaani shiny
Nyonga bila – ya designer
She deserve all that is mine

Nani hachagui kila time
Na kwake na enjoy nikishona
Nabana sikojoi nikimwona
She deserve all that is mine

Akitabasamu jiko nakula kwa kijiko
Kwenye wazuri yupo (Oooh mama)
Nipe bila malipo tena madikodiko
Nikufuate ulipo (Oooh mama)

Physically anafanya mi navimba
Aki ya nani mi nataka uwe mchumba
Nitamhonga gari shamba mpaka nyumba
Mi na yeye hapo hakuna kuyumba

Acheba, acheba, acheba …
Yamenifika kwenye koo mama
Acheba, acheba, acheba …
Acheba wangu sina usalama

Acheba, acheba, acheba …
Yamenifika kwenye koo mama
Acheba, acheba, acheba …
Acheba wangu sina usalama

Acheba you are reason call me Rambo
Acheba drive me crazy like a Lambo
Acheba follow me follow me to the jungle
Acheba dance with me the coco jambo

Oooh, umenishika moyo na roho
Oooh, Acheba baby balance the show hunnie

Physically anafanya mi navimba
Aki ya nani mi nataka uwe mchumba
Nitamhonga gari shamba mpaka nyumba
Mi na yeye hapo hakuna kuyumba

Acheba, acheba, acheba …
Yamenifika kwenye koo mama
Acheba, acheba, acheba …
Acheba wangu sina usalama

Acheba, acheba, acheba …
Yamenifika kwenye koo mama
Acheba, acheba, acheba …
Acheba wangu sina usalama

Acheba picky picky, Acheba mama
Acheba thicki thicki, hebu chutama
Acheba jigi jigi, minyama nyama
Acheba likiliki, we kama ndama

Acheba picky picky, fanya kama unachuchumaa
Acheba thicki thicki, waka kama mshumaa

Acheba, acheba, acheba..
Acheba, acheba, acheba..

Olakira Ft Davido – Maserati Remix Lyrics

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button