New Lyrics

DANZAK – Nitue Lyrics

DANZAK - Nitue Lyrics
DANZAK – Nitue Lyrics

DANZAK – Nitue Lyrics Mocco

Narararara, Narararara
Narararara, hey darling

Sio hadithi za babu
Yametokea hadharani mtogole
Yameniacha mkavu
Na moto wa uchungu ukolee

Huyu mtoto ngangaru
Japo sura sauti mlokole
Nishamchezesha patu
Naweka mwenge wa kula na ale

Mi nang’ang’ana kujenga, mwezangu anaharibu
Ya snura majanga nayaona kila siku
Abadilisha waganga niroge niwe bubu
Kushikia na mapanga ugomvi sio issue

Ka daladala za kimara mbezi
Kwa jimanara na mtoni mtembezi
Kote kalala hapa na simwezi
Nitue

Pwani na bara wanazo tetesi
Uwe kipara mawaki ni terasi
Gumba gumbara bora mpoze keshi
Aniue

Mmmh nitue, hey nitue
Yeah nitue aibu
Mmmh nitue, hey nitue
Yeah nitue taratibu

Ah mapenzi yalikuwaga zamani
Siku hizi drama na ushindani
Wengi waliniita baby baby, wengine hunnie
Na mwisho wake penzi kuwaga mtihani

Na najaribu sahau lakini bado
Bado, bado mama mapenzi alinitupia virago
Haya mapenzi yalifanya moyo nione mzigo
Ah maumivu yakaniandama double

Ka daladala za kimara mbezi
Kwa jimanara na mtoni mtembezi
Kote kalala hapa na simwezi
Nitue

Pwani na bara wanazo tetesi
Uwe kipara mawaki ni terasi
Gumba gumbara bora mpoze keshi
Aniue

Mmmh nitue, hey nitue
Yeah nitue aibu
Mmmh nitue, hey nitue
Yeah nitue taratibu

Mbazi, usinipe maradhi we
Mbazi, sioni sababu we
Mbazi, hey inatosha

Mbazi, usinipe maradhi we
Mbazi, sioni sababu we
Mbazi, aah inatosha

SAMIDOH – Mumbi Lyrics

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button