Uncategorized

Dj Deklack X Exray (Boondocks GVNG) X Kristoff X Timmy Tdat – ACHOO Lyrics

Dj Deklack X Exray (Boondocks GVNG) X Kristoff X Timmy Tdat - ACHOO Lyrics
Dj Deklack X Exray (Boondocks GVNG) X Kristoff X Timmy Tdat – ACHOO Lyrics

Dj Deklack X Exray (Boondocks GVNG) X Kristoff X Timmy Tdat – ACHOO Lyrics. Leo nakuchipo ai, kula makrisla
I say mamii utanifreeze
Nina mashida una mariz
Sichomangi mimi ka si matreee

Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
Vile niko wada hii walai hii ni aichoo
Achoo achoo achoo

Vile nimenyanya aki walai hii ni achoo
Achoo achoo achoo
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo

Usitry kutufrisk tuko mbachu
Na hatujai ogopa kurisk tuko roho juu
Huku ndani si kumefreeze tuko ma achoo
Homa homa tunazichomaga na boza

Na tuko na wa she she she
And they wanna be with me me me
Nasema sawa I got you, I got you again

Bas pitisha hio gomba tuchonge
Nusu lita ya Sprite toboa na ibambe
Bas pitisha hio gomba tuchonge
Nusu lita ya Sprite toboa na ibambe

Bars nyingi shinda Nairobi West
Combined Pipu
Mafine fine boo wako
Yoh si ukam ubuy brew
Rap tycoon wakicash na cash times two

Leo nakuchipo ai, kula makrisla
I say mamii utanifreeze
Nina mashida una mariz
Sichomangi mimi ka si matreee

Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
Vile niko wada hii walai hii ni aichoo
Achoo achoo achoo

Vile nimenyanya aki walai hii ni achoo
Achoo achoo achoo
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo

Diana Hamilton – ADOM (Grace) Lyrics

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Back to top button