New Lyrics

Dj seven Ft Linah x Winnie Nwagi & Hamadai – Kata Remix Lyrics

Dj seven Ft Linah x Winnie Nwagi & Hamadai - Kata Remix Lyrics
Dj seven Ft Linah x Winnie Nwagi & Hamadai – Kata Remix Lyrics

Dj seven Ft Linah x Winnie Nwagi & Hamadai – Kata Remix Lyrics. Mapenzi kede mpaka naogopa
Ananipa wazimu naropoka
Kama nimekunywa mbege nadondoka
Nimelishwa uzembe narozoka

The way you dance my baby o, kata
Unanimaliza mwenzio, kata
Nipe kwa sikio, yaani nahema ka niko mbio
Vuru vuru baby wanivuruga, kata
Hatuelewani kizungu na kilugha
Kibaridi ka vile kokochunga, kata kata

Show watabamba, kanibamba
Oooh umenibamba
Show imenibamba

Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko

chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh

Show me the stamina
You got the formula
Mmmh— dance a likkle bit
I know you are feeling the feeling better
And you famous you make hit
Eeh you make hit

So don’t even go, kata
I want some more, kata
— kata

What a bam bam,  kanibamba

Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko

chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh

Mpenzi tumetoka mbali
I love the way you cry me
Chumbani sikumalizi
Oooh we ndo bahari piga mbizi
Baby yeah yeah

Utajua mimi sijiwezi
Baby eh eh
Ulivyo nai nai (Ulivyo nai nai)
Ulivyo sexy sexy sexy
Ulivyo sexy sexy sexy
Ghetto paradise

Vuru vuru baby wanivuruga, kata
Hatuelewani kizungu na kilugha
Kibaridi ka vile kokochunga, kata kata

Show watabamba, kanibamba
Oooh umenibamba
Show imenibamba

Ah chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko ooh
Chereko, mbeleko aya
Chereko, mbeleko

chereko, mbeleko mama
Chereko, mbeleko haya
Chereko eeeh

Kofi Mole Ft Sarkodie & Bosom P-Yung – Makoma Lyrics

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Check Also
Close
Back to top button