New Lyrics

Eric Omondi – Mimba Jameni Lyrics

Eric Omondi - Mimba Jameni Lyrics
Eric Omondi – Mimba Jameni Lyrics

Eric Omondi – Mimba Jameni Lyrics Kuna mimba ya Juja na ni ya maboi
Wakicheza karumba wanapata watoi
Kuna mimba ya kibich utajua hujui
Kuna mimba za all you niggas
Lakini mimba ya Mondi ndio mimba

Kuna mimba ya status imewekwa kwa story
Kuna mimba ya dude ni ya majambazi
Usipojichunga utalala ndani
Kuna mimba za all you niggas
Lakini mimba ya Mondi ndio mimba

Hapa ni wapi nimezungukwa na mimba
Sina amani vidosho dosho
Na vipusa mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi nimezungukwa na mimba
Sina amani vidosho dosho
Na vipusa mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Kuna mimba ya Westy ya mabeste
Figa ni nane, shake your waist
Mimba ni nyepesi itakuwa kesi
Kuna mimba za all you niggas
Lakini mimba ya Mondi ndio mimba

Kuna mimba Karura ya kupanda miti
Ukiwa Koinange hakunaga risiti eh ah
Mimba Oyole hio ni ya mangwati
To all my hoes and all you my niggas
Lakini mimba ya Mondi ndio mimba

Hapa ni wapi nimezungukwa na mimba
Sina amani vidosho dosho
Na vipusa mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi nimezungukwa na mimba
Sina amani vidosho dosho
Na vipusa mbali mbali
Wengine wanatapika wakizirai

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also
Close
Back to top button