New Lyrics

HANSTONE – Acha Lipite Lyrics

HANSTONE - Acha Lipite Lyrics
HANSTONE – Acha Lipite Lyrics

HANSTONE – Acha Lipite Lyrics. Mmh mmh aahh
Lalala, yeah

Mie samaki baharini
Chozi langu bure tu kwa maji la teketea
Sa ntafanya nini?
Na umesema nisijikune nisidiriki hata kuongea

Mapenzi
Kama kunamwalimu anipeleke shuleni
Mie siwezi
Kila ninachofanya ni sawa na bure

Me mwenzako sijazoea
Kitu kidogo wanifokea
Mie toto dogo sijaanza tembea
Iweje wanikimbiza (Aaah)

Na lenye sura halikosi kisogo
Unafuraga mithili ya mbogo
Unakubwa haga huna hata dogo
Wewe

Ngoma zigizaga bando kwa gogo
Nae mi sichaaga futa mkorogo
Unanipimiaga nusu kwa robo
Mie eh

Acha lipite, acha tu liende zake
Acha lipite, nitapishana na mengine
Achaa lipite, maana hujaaza leo
Hujaza jana, acha lipite

Mmh mmh mmh
Ati me mmmh mshamba
We ndo wakunifunza mie labda mapenzi sijui
Mmmh kudanga
Ukisema ni chamba ukiondoka unarudi asubuhi

Hapeleki hata zingzong zingzong
Ushanichapa fimbo fimbo
Ukankata shingo shingo
Mie iyee iyee

Shaka Zulu mandingo ndingo
Ushashinda kwa ulingo ulingo
Mie nshafika ukingo ukingo oh
Mie iyee iyee

Mie tabasamu langu kilio
Sijui wapi nitashika
Na leo zamu yangu fagio
Na mpini umekatika iyee iyee

Na lenye sura halikosi kisogo
Unafuraga mithili ya mbogo
Unakubwa haga huna hata dogo
Wewe

Ngoma zigizaga bando kwa gogo
Nae mi sichaaga futa mkorogo
Unanipimiaga nusu kwa robo
Mie eh

Acha lipite, acha tu liende zake
Acha lipite, nitapishana na mengine
Achaa lipite, maana hujaaza leo
Hujaza jana, acha lipite

Wololo lo lo lololo
Wololo, lolo mmmh

Hapeleki hata zingzong zingzong
Ushanichapa fimbo fimbo
Ukankata shingo shingo
Mie iyee iyee

Mie tabasamu langu kilio
Sijui wapi nitashika
Na leo zamu yangu fagio
Na mpini umekatika iyee iyee

Ohemaa Mercy Ft. MOG – Ote Me Mu (He Lives In Me)

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button