New Lyrics

Maua Sama – CCM (Nitachagua MAFANIKIO) Lyrics

Maua Sama - CCM (Nitachagua MAFANIKIO) Lyrics
Maua Sama – CCM (Nitachagua MAFANIKIO) Lyrics

Maua Sama – CCM (Nitachagua MAFANIKIO) Lyrics Hey! Hey! Oyeeeh

CCM tunaruhusu uongoze
Tuliamini one day itatufaa
Leo udhahiri, mambo yote bayana
Oooh CCM, mtetezi wanyonge tunang’aa

Amani, imedumu komesha mizozo
Oooh CCM, naipa marks mia mia

CCM asante
Umefanya uchumi upande
Kama ruba nigande
Tuwe wote

Madini wenyewe tuyachimbe
Elimu bora watoto wapate
Kwa kweli CCM
I love you

Iokote! Kura yangu kwa CCM naichagua
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua
Iokote! Nitachagua CCM kwa mafanikio
Iokote! CCM ipo juu kijani imekolea

Madaraja ni nani atujengee (ni CCM)
Kaboresha maji na umeme (ni Magufuli)
Mwenye upendo na huruma tele (ni Magufuli)
Uajasiri wa mali tumepata (kitambulisho)

Anazingatia jinsia
Piga kazi mama Samia
Tanzania twajivunia
Kuwa na wewe

Huduma za afya ni bora (Aaee)
Airport inang’ara ng’ara (Aaee)
Bandari ziko juu milikama zote
Sifa zake tummwagie

CCM asante
Umefanya uchumi upande
Kama ruba nigande
Tuwe wote

Madini wenyewe tuyachimbe
Elimu bora watoto wapate
Kwa kweli CCM
I love you

Iokote! Kura yangu kwa CCM naichagua
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua
Iokote! Nitachagua CCM kwa mafanikio
Iokote! CCM ipo juu kijani imekolea

 

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button