New Lyrics

Nandy – Dozi Lyrics

Nandy - Dozi Lyrics
Nandy – Dozi Lyrics

Nandy – Dozi Lyrics Shii! The African Princess

(It’s S2kizzy beiby)

Yaani tushawaloga waloshika manyanga

Si walipaka powder na chale wakachanja

Na kwenye videnge udaku kwa madot ya kanga

Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga

Ooh yayeee

Imegeuka shilingi wanalia

(Wameyamwaga)

Walidhani magimbi kumbe bia

(Wameyavaga)

So wapaka wino, machino

Wenyewe wamechimba shino

Moja jino kwa kisigino

Wamemwaga tela nawazidi kimo

Ooh yeah hatucheki na ndesi

Ni mwendo wa dozi

Kama wagonjwa nawapa ulezi

Ooo yeah hatuwapi ulezi

(It’s S2kizzy beiby)

Nikimake navimba kibaharia

Kamba kwa buti nakazia

Wakipiga kinuti napangua

Kwa kubwa washow wanakaliwa

Naitekenye kete

Wakipangua cheche

Miluzi makeke

Mteja na kete

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button