New Lyrics

Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu lyrics

Paul Maker x Harmonize - Serikali Kuu lyrics
Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu lyrics

Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu lyrics OK

Just to show them we can do both

Ukinipa beat nachana, utasema boss

Riki, misitabiriki, fundi wa muziki

Wananiita kisiki, Eey

Dem Wako akisema simpendi konde boy huyu

Uju ka ni game nakaliwa buyu

Endelea kungojea mchicha

Uje kua mbuyu, usijifanye huniskii

Nigga I’m talking to you

Hatuna TV na hatuna radio (radio)

Yes, of course, we run the city yoh (city yoh)

Hit after hit tega sikio

Kichwani haziishi material

I’m a genius musician, leo nakalisha ma rapper

Wenye chuki na mimi watasema najitapa

So many sacriFIce jo hadi kuka hapa

Nikifa mnizike kwa heshima kama Benjmin Mkapa

Nyerere, chizi ow dada zao wanachuma tembele

Singezaliwa mtwara na singezaliwa mbele

Kama ningecheza mpira ni levels za kina pele

Kwenye mziki nimeletwa ninwazime makelele

Mi hua nafanya visivyo fanyika (ouuh)

Huaga nachana visivyochanika (ouuh)

Bara muombe kuungana mutanusulika

(mkifosi kushindana nitawafunika)

Hii ndo serikali kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo

Serikali Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo

 

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Back to top button