Shazzie Kemz Ft Haitham Kim – Dhamana Lyrics
Shazzie Kemz Ft Haitham Kim – Dhamana Lyrics Ayoo lizer
Shazzie baby.
Kuna wengi nimecheki bur I still come to you uuh bur I still come to you
Me nitakupenda daily hakuna kitu wanezado uuh hakuna kitu wanezado ah unanifanya nijihisi miee it feels so nice ukinikumbatia baa chunga mapenzi yasididimiee am so glad that you are mine zidi kuyatia laadha
We ndo kwangu embe dodo
The way I love you so much mimi sitotia nyodo so baby come to mee…come tufukuze boredom na ukifika just get in nishakodoa kodo
CHORUS
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana
Baiby kwako sitohama
Mapenzi yako ya thamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana enhe
Baiby
HAITHAM KIM VERSE
Ulichonipa kimenogaa,namajanaba nimekoga,
Ooh baby!!! ooh baby!!,
Pika mi nichume mboga,
Ningusee hapa kiunoni,tambaa tambaa paka shigoni,
Nipe kasauti ka rightoni, mambo mwake mwake..
Nishushe nikifika kituoni,nikubebe mgongoni,kitanda tau ligoniii,pemba chake chake
Tuzimee taa, tuzimee taa,shaipima urefu kilometaa,
Tuzimee taa, tuzimee taa,chomeka na twanga nai pepetaaa
CHORUS
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana
Baiby kwako sitohama
Mapenzi yako ya thamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana enhe
Baiby
SHAZZIE KEMZ
Toka Tanzania mpaka Kenya wallai..gimme full full make a drive it tonight….a drive it tonight gimme full full make a drive it tonight
Me a wife material… Me a wife material…
Lizer on the mix
CHORUS
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana
Baiby kwako sitohama
Mapenzi yako ya thamana uuuh
Baiby kwako sitohama enhe
Mapenzi yako ya thamana enhe
Baiby