New Lyrics

Mastar Vk – Ni Risky Lyrics

Mastar Vk - Ni Risky Lyrics
Mastar Vk – Ni Risky Lyrics

Mastar Vk – Ni Risky Lyrics Ni risky huwezi nikosa na whiskey
Natema kuliko Nyashinski
Nipate nazoza Kempinski
Ngoko napenda hizo lips ni pinky

Ukitaka kuniona nilinky
Tunyanye na ucheze na dicky
Nikachape hata kama ni ka quickie
Ni risky kufuok na Vk ni risky
Afande huwapigisha ndulu
Mliacha kunyanya kwa choche
Siku hizi hamfichi mnanyanya kwa mbulu
Kuwapona ni kama Waiguru
Muache kudhani ni kama mko na Uhuru

Beiby nyonya deki ni kama ni Buru
Ni risky nilidhani eti we ni kadere
Ujaribu kuendesha momo
Ujue hatujuagi eti we ni kamwere

Nimekumbwa na ngeus kwa njeve
Dakika tano ka amechora 7
Mamate kama ameshika kende
Ka anaitwa angel nipeleke heaven

Ni risky we buda ukipata Corona
Si wengi wanaweza kupona
Sitaki udedi nataka kukuona
Wewe hii maisha ni tamu YOLO
Ka pongi unaikulanga solo
Kulamba lolo
Mangware kuwasha kikolo
You don’t know

 

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button