New Lyrics

Otile Brown Ft Harmonize – Woman Lyrics

Otile Brown Ft Harmonize – Woman Lyrics
Otile Brown Ft Harmonize – Woman Lyrics

Otile Brown Ft Harmonize – Woman Lyrics. Aisha, Aisha, Aisha
Mzuri kama kachoro
Body kakupa mola
I’m like my oh my

Macho yake yanavyong’aa
Just like a candle light
Lips zake zilivyolowa
Akizing’ata like my oh my
Ngozi yake inavyometameta
Kama shimaa

Hivi we unadhani, nakutamania
Nilipoitrace zaidi ya vile, navyodhania
Can I be your company
Nina machache ya kukuambia, wouwoo ah

Coz I need you in my life
I’m tryna find me a wife
And you look just like a type
You look like just my type
I swear this love is first try

Coz you are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, Aisha

Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare

Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare

Mzuri kama kachora
Kiuno kama dondora
I’m like my oh my
Na hivyo vimacho vyake ka golori
Anavyovirembua

Her body shape like a cola
I go spend all my dollar
I’m tryna make you mine
Na hizo pozi zake ka mdoli
Anavyojishaua

Nishajaribu kupapasa
Dar es Salaama, Nairobi hadi Mombasa
Sijamwona mpaka sasa
Wa kufanana huo mshaope sasa

Maneno manung’uno na chuki
Eti mara kiuno amechongesha Uturuki
Huwajibu hukurupuki
Penzi lako ni asali na mi ndo nyuki

Kelele zao za chura hazininyi tembo kunywa maji
Watasema mchana na usiku watalala
Umebarikiwa sura kwenye shindano la warembo
Acha nikupe taji
Kwanza bado kijana kifuani hapajalala

Coz you are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, mwenzako Aisha

Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare
Aisha, parampara papare

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button