New Lyrics

Sister Joan – Umwema Lyrics

Sister Joan - Umwema Lyrics
Sister Joan – Umwema Lyrics

Sister Joan – Umwema Lyrics. Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema
Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema

Wewe ni kila kitu maishani mwangu
Wewe ni vyote Baba maishani mwangu
Wewe ni kila kitu maishani mwangu
Wewe ni vyote Baba maishani mwangu

Tangu utoto wangu hujaniacha
Katikati ya taabu ukaniona
Shida na masimango vilipozidi
Ukanipenda nami ukaniona

Wengi waliniona sina dhamani
Nikulipe nini Mungu umeniona
Umekuwa Baba umekuwa mwalimu
Umekuwa chakula changu nikupe nini?

Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema
Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema

Umenibadilishia watu walivyonijua
Umenipa jina jingine mimi ni wako
Walihesabu siku zangu zitakuwa vile
Kumbe ulipanga mazuri nikupe nini

Kuna walionitoka njiani
Wapo walionikataa kabisa
Ushukuriwe Mungu wewe si mwanadamu
Ulipanga mazuri Baba nikupe nini?

Ni rafiki yangu Baba
Ni mwalimu wa kweli wewe
Ni mpenzi wa mimi karibu sana
Mimi Baba nikupe nini?

Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema
Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema

Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema
Umwema, umwema
Umwema Yesu umwema

Joey B – Akobam Ft Kofi Mole & Medikal

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Back to top button